
Maombi - Pr. David Mmbaga
Ni program ambayo imekusudiwa kukupa baraka zinazopatikana kwa njia ya maombi.
Hapa utaweza kuombewa na kushiriki kuwaombea wengine.
Utaona shuhuda za kutia moyo
Pia ndani yake kuna huduma zifuatazo:-
Pia Programu inakupa dondoo za Afya.
Karibu na Shiriki pamoja nasi Kuomba.